HABARI   NA   MATUKIO

Mitaa ya Zanzibar yaekewa anuwani za makaazi (Postcode)

Mitaa ya Zanzibar yaekewa anuwani za makaazi (Postcode)

Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeanza kutekeleza mradi wa uwekaji wa anuani za makaazi (postcode) kwa baadhi ya mitaa ya Zanzibar.Zoezi hilo...

Kaskazini Pemba: Mkoa uliotandikwa mtandao mpya wa barabara

 Kaskazini Pemba: Mkoa uliotandikwa mtandao mpya wa barabara

Katika mwaka 2014 kama kuna Mkoa ambao unaweza kujivunia mafanikiomakubwa kwenye ujenzi wa Miundombinu ya barabara ni mkoa wa Kaskazini Pemba. Kwa hakika Mkoa huo, ujenzi wa barabara tano zilizozinduliwa...

Utiaji Saini makubaliano ya awali ujenzi wa Bandari ya Mpigaduri

Utiaji Saini makubaliano ya awali ujenzi wa Bandari ya Mpigaduri

Bandari ni moja ya miundombinu yenyeumuhimu mkubwa hususan kwa nchi ya kisiwa kama Zanzibar. Kwa kawaida Bandari hutumika kama mlango mkuu wa kuingizia na kutolea wageni na biadhaa muhimu kwa...

Rais aweka jiwe la msingi katika jengo la abiria Terminal II Zanzibar

Rais aweka jiwe la msingi katika jengo la abiria Terminal II Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo tarehe 9 October, 2015, aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la pili la abiria (terminal...

Uwekaji wa TAA na CCTV camera barabarani Zanzibar

Uwekaji wa TAA na CCTV camera barabarani Zanzibar

Zitakuwa na uwezo wa kuonesha video moja kwa moja pamoja na kurekodi data ambazo zitatumika kwa ajili ya kupunguza uhalifu katika mji pamoja na kutoa taarifa kuhusu ajali za barabarani....

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Karume Aripoti kazini baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Mhe Rais wa Zanzibar

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Karume Aripoti kazini baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Mhe Rais wa Zanzibar

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Balozi Ali Karume amesema suala la umoja na ushirikiano ni muhinu katika utendaji wa kazi ili kuleta ufanisi bora kwa kazini. Mhe Waziri...

Hafla fupi ya kumkabidhi ofisi Mhe waziri Mpya wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafurishaji Mhe Balozi Ali Karume

Hafla fupi ya kumkabidhi ofisi Mhe waziri Mpya wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafurishaji Mhe Balozi Ali Karume

Waziri wa nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Ussi Haji Gavu amesema hakuna kitu kizuri dunia kama kuishi na watu kwa uzur kwani unaweza...

Ziara ya Waziri wa Ujenzi Balozi Ali Karume Kisiwani Pemba.

Ziara ya Waziri wa Ujenzi Balozi Ali Karume Kisiwani Pemba.

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano, na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume, akifafanua jambo, kwenye eneo la ujenzi wa ukuta maalumu kwa ajili ya kuzuia barabara ya Bahanasa- Mtambwe isikatike,...

Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mh. Balozi Ali Karume awasilisha Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Katika hotuba yake Mh. Waziri aliomba wajumbe...

Open Tender

Open Tender

The Zanzibar Shipping Corporation Tender No ZSC/D/ICB/01/2017/2018 For Disposal of MV Maendeleo Vessel Invitation for Tenders Date: 14th September, 2017 1. The Zanzibar Shipping Corporation intends to dispose MV Maendeleo...