Maktaba ya video

wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji inaendelea kutayarisha Mpango Mkakati kwa miaka mitano wa mawaasiliano Zanzibar  pamoja na uandaji wa sheria ya TEHAMA ili kurahisisha utumiaji wa sera ambayo inaondoa kasoro zinazojitokeza katika matumizi ya Miundombinu ya mawasiliano.