Idara ya Ujenzi na Utunzaji Barabara.

Idara ya Ujenzi na utunzaji wa barabara ni idara inayoshughulikia ujenzi na utunzaji wa barabara Unguja na Pemba.