Nafasi za Kazi

Tunatafuta mtaalam aliebobea kwenye fani ya utengenezaji  wa mifumo kompyuta (Software developer),  awe  mzoefu  wa  kutumia  lugha  na  nyenzo  tofauti  za  utengenezaji  wa  mifumo.  Kwa mwenye   vigezo  vya  kuomba  nafasi  hii  tafadhali  tuma  CV  yako kwenye  anuani  ifuatayo:This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. .