Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Barabara Kiyuni hadi Ngomeni Pemba
25 Feb 2019

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Barabara Kiyuni hadi Ngomeni Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mamboya,uzinduzi huo umefanyika akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mamboya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakitembelea barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Kuyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo Kisiwani Pemba

 

 

Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
P.O.Box 266
ZANZIBAR
TANZANIA

AU

190 FUMBA ROAD
POSTCODE: 71201
ZANZIBAR, TANZANIA

email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.