Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba
03 Apr 2019

Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba

Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Hamza Hassan Juma akizungumza katika kikao cha kupokea taarifa ya robo ya tatu ya Januari-Machi kwa wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, huko mjini Chake Chake

Baadhi ya Wakurugenzi na watendaji wengine wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji  Zanzibar, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa robo ya tatau ya wizara hiyo, kwa wajumbe wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano kikao kilichofanyika mjini Chake Chake

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akisoma taarifa ya Robo ya Tatu ya Wizara hiyo kwa wajumbe wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, kikao kilichofanyika mjini Chake Chake

Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
P.O.Box 266
ZANZIBAR
TANZANIA

AU

190 FUMBA ROAD
POSTCODE: 71201
ZANZIBAR, TANZANIA

email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.