Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe akielezea changamoto mbalimbali zinazoikabali Shirika la Meli kwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Rahma Kasim Ali alipofanya ziara kutembelea eneo la Bandarini.
Kepteni wa Meli ya MV Mapinduzi II Abubakar Khamis Mzee akitowa maelezo ya kitaalamu kwa Mh Waziri.
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Mhe Rahma Kasim Ali akitoa maagizo kwa wafanyakazi wa Shirika la meli mara Alipofanya ziara katika meli ya Mapinduzi II.