Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Amelifungua Jengo la Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kulifungua jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III (kulia kwa Rais) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu na Waziri wa Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Dk. Sira Ubwa, hafla hiyo imefanyika katika jengo hilo