UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Damen Shipyard Gorinchem, Kanda ya Afrika Mr.Ronald Maat, alipowasili katika viwanja vya Bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, hafla hiyo imefanyika
UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.
Rais wa Zanzibzr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr ALI MOHAMED SHEIN akikata utepe kuashiria kuizindua rasmi Meli mpya ya mafuta MT UKOMBOZI 2 akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji kushoto Dr Sira Ubwa Mamboya
UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto kwa Rais Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo,akitowa maelezo wakati wa kutembelea moja meli hiyo baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar.
UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya kitaalamu ya Uundaji wa Meli ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Meli hiyo uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar.
UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika bandari ya Malindi
KIKAO CHA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI
Kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti kwa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango- Gombani Kisiwani Pemba
WAZIRI WA UJENZI USAFIRISHAJI NA MAWASILIANO ZANZIBAR DR SIRA UBWA MAMBOYA AVUNJA BODI YA SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Sira Ubwa Mamboya ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari Zanzibar
ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI USAFIRISHAJI NA MAWASILIANO ZANZIBAR DR SIRA UBWA MAMBOYA KATIKA BARABARA YA OLE-KENGEJA
ZIARA DODOMA
.Mhe Waziri akipokea maelekezo kuhusu mnara wa mawasiliano wa makanda kutoka kwa ndugu Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa mawasiliano kwa wote ndugu Jostina Mashiba
UTIAJI SAINI WA MELI MPYA YA MAFUTA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango wa SMZ Nd Khamis Mussa akisaini makabidhiano ya kiufundi ya Meli mpya ya kubeba mafuta "Ukombozi II" leo jijini Shanghai.
MELI MPYA YA MAFUTA
Meli mpya ya kubeba mafuta "Ukombozi II"
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. ALI MOHAMED SHEIN, AFUNGUA BARABARA KIYUNI HADI NGOMENI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mwaboya.
UZINDUZI WA BARABARA YA MKANYAGENI KANGANI WILAYA YA MKOANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa Kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Barabara ya Mkanyageni hadi Kangani Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo.kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Mhe. Sira Ubwa Mwamboya.
UZINDUZI WA BARABARA YA MKANYAGENI KANGANI WILAYA YA MKOANI PEMBA
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akisoma taarifa ya kiufundi ya ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami kutoka Mkanyageni hadi Kangani Wilaya ya Mkoani Pemba, baada ya kufunguliwa barabara hiyo leo.
SERIKALI YAPOKEA VIFAA VYA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO
Muonekano halisi wa Mtambo wa kuchanganyia Lami uliotoka Nchini Brazil unavyoonekana
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI DARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akitoa maelezo ya Kitaalam kuhusiana na Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
   
 
UJENZI WA MIRADI YA KUONDOWA MAJI YANAYOTUAMA  
 
 
 MAKALA MAALUM UJENZI NA UPANUZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA  
 
 
Shirika la Bandari Zanzibar lalazimika kubadili mfumo wa upakuaji mizigo kwa "dharura"  
 

Sehemu ya Kwanza :-Makala maalum Ujenzi na Ukarabati Miundombinu ya Barabara Na mitaro Ya Maji Zanzibar

 

 
Meli Mpya Ya Mafuta MT MKOMBOZI II Kuwasili Katika Bandari Ya Zanzibar Ikitokea Shanghai Nchini China.  
 
   
 
Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Dkt Sira Ubwa Mamboya.  tarehe 20/8/2019 amevunja rasmi Bodi ya Shirika la Bandari  
   
 
Sherehe za uzinduzi wa Meli mpya ya Mafuta ya MT. Ukombozi ll  
   
 
Sherehe za uzinduzi wa Meli mpya ya Mafuta ya MT. Ukombozi ll  

 

 

 

Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
P.O.Box 266
ZANZIBAR
TANZANIA

AU

190 FUMBA ROAD
POSTCODE: 71201
ZANZIBAR, TANZANIA

email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.