Z
BIG Z Project Fungua Ukurasa
Mwanzo / Mradi wa BIG-Z
Tanzania: BIG-Z Project

Boosting Inclusive Growth for Zanzibar

Mradi wa BIG-Z unalenga kuboresha miundombinu, huduma za msingi, mazingira ya miji, usafiri salama, uchumi wa wananchi na uwezo wa taasisi katika kusimamia maendeleo ya Zanzibar.

Muhtasari wa Mradi

ThamaniUS$150 Million
Muda2021 - 2027
WalengwaWananchi, taasisi, biashara na jamii za Zanzibar
UtekelezajiPoFP na MoICT kwa ushirikiano wa taasisi husika
0Miradi Yote
0Inaendelea
0Imekamilika
0Mpango
Nyaraka

Nyaraka na Ripoti

RESETTLEMENT ACTION PLAN

RESETTLEMENT ACTION PLAN

87 wamefungua 83 wamepakua April 2026

UPDATED ENVIRONMENTAL AND SOCIAL MANAGEMENT FRAMEWORK (ESMF)

UPDATED ENVIRONMENTAL AND SOCIAL MANAGEMENT FRAMEWORK (ESMF)

73 wamefungua 70 wamepakua NOVEMBER 2025

Environmental and Social Impact Assessment For Stone Town Mobility Management Program (STMMP) and Michenzani Area Integrated Redevelopment Project (Michenzani Green Corridor Plan) in Mjini District, Unguja Zanzibar

81 wamefungua 89 wamepakua December 2025

FINAL HERITAGE IMPACT ASSESSMENT REPORT (HIA) FOR STONE TOWN AND MICHENZANI SUSTAINABLE MOBILITY PROJECT

5 wamefungua 10 wamepakua May 2026

Updated Resettlement Policy Framework

115 wamefungua 118 wamepakua July 2025
Habari za BIG-Z

Habari za Hivi Karibuni

6 picha
BARABARA B.O.T & MAGEREZA
03 Jun, 2026

Matembezi ya World Bank na watendaji wa Mradi wa Big-Z katika barabara ya B.O.T hadi MAGEREZA

4 picha
KARIAKOO ROUND ABOUT
25 May, 2026

Ujenzi wa makutano ya barabara 4 (ROUND ABOUT YA KARIAKOO)barabara ya Miembeni,Michenzani,Kwabi...

4 picha
UFUNGUZI WA UJENZI WA BARABARA YA MNAZI MMOJA (CREEK ROAD)
01 Jun, 2026

Kuanza ujenzi kwa barabara ya Kutoka Mnazi Mmoja hadi Mkunazini

Lengo la Mradi

Kukuza Maendeleo Jumuishi kwa Zanzibar

Mradi huu unaweka mkazo katika kuboresha maisha ya wananchi kupitia huduma bora, miundombinu imara, miji salama, uchumi wa jamii na matumizi ya teknolojia katika utawala.

Miundombinu na Huduma

Mifereji ya maji, barabara, taa za jua, maeneo ya umma na huduma za jamii.

Usafiri na Mzunguko wa Watu

Usafiri salama, njia za watembea kwa miguu na maboresho ya maeneo ya mijini.

Uchumi wa Jamii

Masoko, biashara ndogo, utalii, mafunzo na fursa za ajira kwa wananchi.

Uwezo wa Taasisi

Mipango miji, GIS, usimamizi wa fedha za miji, kanuni za ujenzi na mifumo ya kidigitali.

Vipengele vya Mradi

Shughuli Kuu za BIG-Z

01

Maendeleo ya Miji na Miundombinu

Uboreshaji wa maeneo ya mijini, mifereji ya maji, barabara, maeneo ya umma, taa na huduma za msingi.

  • Uendelezaji wa eneo la Michenzani
  • Usafiri na maeneo ya umma Stone Town
  • Mifereji na kinga dhidi ya mafuriko
02

Taasisi na Ubunifu

Kuimarisha taasisi, matumizi ya teknolojia, GIS, takwimu za anga na zana za mipango miji.

  • Miundombinu ya takwimu za anga Zanzibar
  • Mpango Kabambe wa Pemba
  • Kanuni za ujenzi Zanzibar
03

Usimamizi wa Mradi na Ufuatiliaji

Usimamizi, ufuatiliaji, tathmini, manunuzi, fedha na utoaji wa taarifa za utekelezaji.

  • Taarifa za maendeleo kila robo mwaka
  • Ushirikishwaji wa wadau
  • Udhibiti wa ubora na mazingira
04

Mwitikio wa Dharura

Sehemu ya kukabiliana na dharura kama mafuriko, uharibifu wa miundombinu na majanga mengine.

  • Usafishaji na ukarabati wa mifereji
  • Msaada wa kukabiliana na mafuriko
  • Hatua za urejeshaji baada ya majanga
Video

Fahamu Zaidi Kuhusu BIG-Z

BIG Z

Sehemu hii inaonesha video rasmi ya mradi, mahojiano, taarifa za maendeleo au video za shughuli za utekelezaji.

Video za Hivi Karibuni

BIG Z

Matokeo Yanayotarajiwa

Athari kwa Wananchi na Maendeleo ya Zanzibar

BIG-Z inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma bora, kupunguza changamoto za mafuriko, kuboresha maeneo ya umma, kuongeza fursa za kiuchumi na kuimarisha utawala wa miji.

230,000+Wananchi kunufaika na huduma bora
46,000+Kaya kupata huduma na miundombinu bora
15,000Ajira za muda katika utekelezaji
6Taasisi kuimarishwa kwa zana mpya
Miradi

Miradi ya BIG-Z

Hakuna miradi kwa sasa

Miradi itaonekana hapa baada ya kuongezwa kwenye mfumo.